
KISWAHILI MJARABU 1
Quiz by Cornelius Kipkosgei
Tag the questions with any skills you have. Your dashboard will track each student's mastery of each skill.
Kauli, "Ni siku wingu jeusi la simanzi liligubika msitu wote wa Kandisi" imetumia mbinu gani ya lugha?Â
Rafıki yako ana mazoea ya kuwadharau watu waliomsaidia hapo awali. Hajui kuwa huenda akahitaji msaada wao baadaye. Chagua methali utakayotumia kumwonya.
Chagua kauli ya kutendewa ya sentensi ifuatayo:
Mjakazi alianua nguo kablaya jua kuzama.
Geuza sentensi ifuatayo iwe katika hali ya kukanusha wakati uliopita.
'Taka zote zitakuwa kwenye jaa.'
Geuza katika hali ya ukubwa: Mzee daima alipenda kuvaa kofia nyeusi.
Bainisha matumizi ya koloni katika sentensi ifuatayo:
Rais alisisitiza kuwa anathamini mambo mawili: Bidii na uaminifu.